Nahum 3:5-6


5 a Bwana Mwenye Nguvu Zote anasema,
“Mimi ni kinyume na ninyi.
Nitafunika uso wako kwa gauni lako.
Nitaonyesha mataifa uchi wako
na falme aibu yako.

6 bNitakutupia uchafu,
nitakufanyia dharau
na kukufanya kioja.
Copyright information for SwhKC